Maombi App

Mac International Business
Contains ads
500+
Downloads
1000+
Users

Maombi App

Mac International Business
Contains ads

500+
Downloads
1000+
Users
Screenshot 1
Screenshot 2
Screenshot 3
Screenshot 4

App Description

Tunaishi, Tunapenda,Tunasaidia

Maombi App Tumepewa karama na Mungu ili tuisaidie Dunia na watu wake. Kwa miaka zaidi ya mitano sasa tumefanyakazi hii na kuwasaidia watu wengi katika shida mbalimbali. Huduma hii inatolewa bure kwa imani ya kweli, upendo na kujitolea tunaomba na kupokea miujiza yenye nguvu kutoka kwa Mungu mwenyewe. Sifa na utukufu zitarudi kwake Mungu wa majeshi kila nukta ya pumzi ya mwanadamu.

Maombi ya Miujiza
Timu yetu ya maombi imegawanyika sehemu mbalimbali duniani. Mungu ametupa Karama hii kutenda miujiza kwaniaba ya Mwanae Mpendwa Yesu Kristo. Kazi yetu sisi ni kuomba na Muujiza unatoka kwa Mungu mwenyewe na baada ya kupokea muujiza tunafurahi kwa pamoja na kumtukuza Mungu.

IMANI YETU

Hakuna jambo linaloshindikana kwa Mungu. Kupitia jina la Yesu Kristo watu wote watapona na shida zao zote zitaisha maana katika Yakobo 5:13 imeandikwa. "Je, kuna mtu ye yote miongoni mwenu aliye na shida? Basi na aombe. Je, yuko mwenye furaha? Basi na aimbe nyimbo za sifa". Katika maombi yenye nguvu tunashinda kila siku, hatuna chakuhofia wala hakuna wakutuzuia kupokea baraka na Miujiza ya Yesu Kristo kila tunapoihitaji kwa Imani.

Download Maombi App jifunze jinsi ya kuomba omba kwa imani shirikisha timu yetu ya maombi tuombe kwaajili yako hakika Mungu atatenda muujiza ambao hukuutarajia.

Hakuna malipo yoyote kwenye huduma zetu, jifunze bure omba na upokee Muujiza tumtukuze Mungu pamoja.
Updated On
Jun 20, 2019

Create an App Like This

Do you want to create an app like this for your business or entertainment?
AppsGeyser - Free App Creator allows to convert any content into Android Apps in few easy steps without coding or software. Just chose a ready-to-go template to create and design your own mobile applications for free.